Mhe. Luswetula ameipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa kuendeleza Kilimo na Ufugaji wa kisasa katika maeneo ya Mijini.
Akiwa katika banda hilo, Mhe. Kapinga amefahamishwa kuhusu shughuli na huduma mbalimbali zinazotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika kuendeleza kilimo cha mjini, ikiwemo matumizi ya teknolojia za kisasa na mbinu zinazolenga kuongeza tija ya uzalishaji, kuimarisha usalama wa chakula na kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo.