Indexed topics
EDUCATION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Programu ya TUSEME Kuimarisha Ujasiri wa Wanafunzi katika Kueleza Changamoto

Latest Tanzania education news · Programu ya TUSEME Kuimarisha Ujasiri wa Wanafunzi kati… explained · updated Aug 5, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Upendo Rweyemamu, amewataka wadau wa elimu kuhakikisha wanafunzi wanajengewa uwezo wa kujiamini, kueleza changamoto zinazowakabili na kushiriki katika kutafuta suluhisho, hatua inayolenga kuimarisha mazingira salama na.
  • Rweyemamu ametoa wito huo akimwakilisha Katibu Tawala Mkoa wa Tabora wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wawezeshaji wa Mkoa wa Programu ya TUSEME, yanayofanyika katika ukumbi wa maktaba wa Shule ya Sekondari ya.
  • Amesema Serikali kwa kushirikiana na UNICEF imeanzisha Programu ya TUSEME ili kuwawezesha wanafunzi kueleza changamoto wanazokabiliana nazo shuleni na nyumbani, kukuza uwezo wa kujiamini na uongozi hususan kwa.
  • Amesema mafunzo hayo yanatarajiwa kuongeza maarifa na uwezo wao wa kusimamia utekelezaji wa programu, huku akisisitiza umuhimu wa kuwasaidia wanafunzi kuvunja ukimya na kueleza vikwazo vinavyoathiri ujifunzaji wao.
  • Rweyemamu kuhusu umuhimu wa kuwajengea watoto uwezo na ujasiri wa kutambua na kueleza changamoto zinazowakabili.

Latest news excerpts & sources: Programu ya TUSEME Kuimarisha Ujasiri wa Wanafunzi kati…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.