Indexed topics
CIVIL SOCIETY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Prof Mkumbo's Support for THRDC's Human Rights Grant Project

Latest Tanzania civil society news · Prof Mkumbo's Support for THRDC's Human Rights Grant Pr… explained · updated Aug 9, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Profesa Mkumbo ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mpango huo, ambapo pia amechangia Sh milioni moja kwaajili ya kuunga mkono utekelezaji wake.
  • Uzinduzi wa mpango huo umefanyika sambamba na Mkutano Mkuu wa 15 wa THRDC, unaowakutanisha wanachama, wadau wa maendeleo, watetezi wa haki za binadamu na viongozi mbalimbali kujadili mustakabali wa ulinzi na utetezi wa.
  • DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amepongeza Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kuanzisha Mradi wa Ruzuku kwa Ajili ya Haki za Binadamu.
  • Profesa Mkumbo amepongeza Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kuanzisha Mradi wa Ruzuku kwa Ajili ya Haki za Binadamu, ambao utasaidia kuongeza upatikanaji wa rasilimali za kifedha kwa ajili ya.
  • Serikali inaendelea kuthamini mchango wa wadau wanaosaidia kuimarisha utawala wa sheria, haki na maendeleo jumuishi,” amesema Profesa Mkumbo.

Latest news excerpts & sources: Prof Mkumbo's Support for THRDC's Human Rights Grant Pr…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.