Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Pressure on Gianni Infantino to Resign After Failed Sale of FIFA Competition Shares

Latest Tanzania sports news · Pressure on Gianni Infantino to Resign After Failed Sal… explained · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • NYON, Uswis SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limelaani mpango wowote unaolenga kumng’oa kwenye kiti Rais wake, Gianni Infantino.
  • Infantino anakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kujiuzulu baada ya mpango wake wa kuuza hisa za mashindano yote ya FIFA kukataliwa.
  • Katika taarifa yake, FIFA imedai kubaini njama za baadhi ya vyama na mashirikisho ya soka kuichafua Taasisi hiyo na Rais wake.
  • Wakati huo huo, FIFA imeeleza kuwa kwa sasa inajielekeza katika mikakati yake ya kuimarisha maendeleo ya soka na si kujihusisha na propaganda zinazoendelea.

Latest news excerpts & sources: Pressure on Gianni Infantino to Resign After Failed Sal…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.