Praise for Integrated Farming System Implementation in Kibaha District
Latest Tanzania agriculture news · Praise for Integrated Farming System Implementation in… explained · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Nchemba pia alivutiwa na ng’ombe wa kisasa aina ya Sahiwal mwenye uzito wa takribani kilogramu 1,050, ambaye ni miongoni mwa vivutio vikubwa katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.
- Mwigulu Lameck Nchemba, amepongeza ubunifu wa mfumo wa Kilimo Mseto (Integrated Farming) unaotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha baada ya kutembelea banda la halmashauri hiyo katika Maonesho ya Wakulima.