BEI ZA PETROLI,DIZELI AGOSTI 2026 KICHEKO,AHUENI KWA...
Mwezi Agosti 2026, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta, ambapo kwa Dar es Salaam bei ya Petroli (PMS) imewekwa kuwa TSh 3,898 kwa lita, Dizeli (AGO) TSh 3,978 kwa lita, na Mafuta ya Taa (IK) TSh 4,003 kwa lita.