Paul Biya's Ongoing Absence and Lack of Government Transparency
Latest Tanzania politics news · Paul Biya's Ongoing Absence and Lack of Government Tran… explained · updated Aug 9, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Mbaya zaidi, aliposhinda Uchaguzi wa mwaka 2025, Biya aliahidi kuunda Baraza jipya la Mawaziri lakini hakuna mabadiliko.
- Kwa siku 60 akiwa nje, Biya amekuwa akiendesha Serikali akiwa Uswis, ikiwamo kutoa maelekezo ya kusainiwa kwa mikataba ya mikopo na taasisi za fedha za kimataifa.