Indexed topics
TECHNOLOGY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

OWM–TAMISEMI Achieves Multiple Recognitions at TEHAMA Awards 2026

Latest Tanzania technology news · OWM–TAMISEMI Achieves Multiple Recognitions at TEHAMA A… explained · 2026 updates · updated Aug 10, 2026 · tech news · innovation · digital

TLDR

  • Tuzo hizo zilizoandaliwa na Tume ya TEHAMA, zilitolewa Agosti 09, 2026 kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
  • Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) imeshinda tuzo ya TEHAMA AWARD 2026, katika kipengele cha Mabadiliko ya Kidijitali katika Sekta ya Umma.
  • Mbali na ushindi huo, OWM–TAMISEMI pia ilishika nafasi ya pili katika vipengele mbalimbali, ambavyo ni Utangazaji wa Maudhui ya Kidijitali, Matumizi ya TEHAMA kwa Ajili ya Athari Chanya katika Jamii, Matumizi ya TEHAMA.

Latest news excerpts & sources: OWM–TAMISEMI Achieves Multiple Recognitions at TEHAMA A…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.