Zaidi ya wakulima 2,000 wa kahawa, mbaazi na mazao mengine katika mikoa ya Arusha na Manyara wamenufaika na huduma za kifedha kidijitali za Mixx, zinazowawezesha kupokea malipo ya mazao, kupata mikopo na huduma za bima bila kulazimika kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za kifedha.