Over 2,200 Delegates from 183 Countries Expected at IPU Assembly in Arusha
Latest Tanzania politics news · Over 2,200 Delegates from 183 Countries Expected at IPU… explained · updated Aug 5, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na kufungua Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026.
- Hayo yamesemwa jijini Arusha na Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya mkutano huo.Zungu amesema zaidi ya wajumbe 2,200 kutoka mataifa 183 wanatarajiwa.