Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Ongoing Talks for Alassane Kante's Transfer from Simba SC

Latest Tanzania sports news · Ongoing Talks for Alassane Kante's Transfer from Simba… explained · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Uongozi wa klabu ya Simba SC umeweka wazi hatma ya kiungo wao mkabaji, Alassane Kante, ukithibitisha kuwa mchezaji huyo bado ni mali halali ya Wekundu wa Msimbazi, huku kukiwa na mazungumzo yanayoendelea na klabu.
  • Magori ameeleza kuwa mara baada ya kumaliza majukumu yake ya kitaifa, Simba itamruhusu kwenda Ulaya mwezi Septemba kuanza majaribio yake.
  • Kauli hii imekuja kufuatia sintofahamu iliyoibuka miongoni mwa mashabiki baada ya jina la Kante kutotajwa wala kutambulishwa wakati wa kilele cha Simba Day kilichofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es.
  • Kante bado ni mchezaji wa Simba, na kuna timu inamhitaji hivyo bado mazungumzo yanaendelea,” amesema Magori.

Latest news excerpts & sources: Ongoing Talks for Alassane Kante's Transfer from Simba…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.