Oburu Oginga's Announcement to Support Ruto for 2027 Elections
Latest Tanzania politics news · Oburu Oginga's Announcement to Support Ruto for 2027 El… explained · 2027 updates · updated Aug 5, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Akizungumza jana Jumanne Ikulu ya Nairobi wakati wa mkutano wa Rais Ruto na wazee wa vijiji kutoka maeneo mbalimbali nchini humo, Dk Oburu alisema ODM haitasimamisha mgombea urais mwaka 2027 bali itamuunga mkono Rais.
- Wakati Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, mjadala kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto umeanza kuibua mvutano ndani ya vyama vya United Democratic Alliance (UDA) na Orange Democratic.