Indexed topics
FINANCE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

NMB Inanunua Dola kwa Sh2,595 na Kuuzwa kwa Sh2,675

Latest Tanzania finance news · NMB Inanunua Dola kwa Sh2,595 na Kuuzwa kwa Sh2,675 explained · updated Aug 6, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • Takwimu za viwango vya ubadilishaji fedha zinaonyesha NMB sasa inanunua Dola ya Marekani (USD) kwa Sh2,595 kutoka Sh2,605 jana na kuiuza kwa Sh2,675 kutoka Sh2,685.
  • Kwa upande wa CRDB, dola imeendelea kununuliwa kwa Sh2,605 na kuuzwa kwa Sh2,685, viwango vilivyodumu kwa siku mbili mfululizo.
  • Dola ya Marekani imepungua kwa Sh10 katika Benki ya NMB, ikilinganishwa na jana, wakati Benki ya CRDB imeendelea kubakiza viwango vyake bila mabadiliko.
  • CRDB imeongeza kiwango cha ununuzi kwa Sh7.81 hadi Sh3,412.30 na uuzaji hadi Sh3,712.30, wakati NMB imepunguza viwango vyake kwa Sh8 na sasa inanunua pauni kwa Sh3,359 na kuiuza kwa Sh3,704.

Latest news excerpts & sources: NMB Inanunua Dola kwa Sh2,595 na Kuuzwa kwa Sh2,675

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.