Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Nirmal Purja's Death Due to Avalanche on Broad Peak

Latest Tanzania sports news · Nirmal Purja's Death Due to Avalanche on Broad Peak explained · updated Aug 2, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Msafara huo ulianza kupanda mlima Broad Peak Julai 29, lakini mawasiliano nao yalipotea siku iliyofuata baada ya kufikia eneo lenye urefu wa takribani mita 6,660.
  • Mwanamichezo maarufu wa kupanda milima kutoka Nepal, Nirmal “Nimsdai” Purja, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kukumbwa na anguko la theluji (avalanche) kwenye mlima wa Broad Peak nchini Pakistan.
  • Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na kampuni yake ya Elite Expeditions pamoja na Waziri Mkuu wa Nepal, baada ya Purja kuwa sehemu ya msafara wa wapandaji 10 uliokumbwa na janga hilo Julai 30.
  • Broad Peak, uliopo katika safu ya milima ya Karakoram kati ya Pakistan na China, una urefu wa zaidi ya mita 8,000 na ni miongoni mwa milima hatari zaidi duniani kwa wapandaji.
  • Purja alijipatia umaarufu mkubwa duniani baada ya kuweka rekodi ya kupanda milima yote 14 yenye urefu wa zaidi ya mita 8,000 duniani ndani ya kipindi cha miezi saba pekee, mafanikio yaliyoonyeshwa kwenye filamu ya.

Latest news excerpts & sources: Nirmal Purja's Death Due to Avalanche on Broad Peak

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.