NIC Insurance Offers Livestock Insurance to Protect Farmers from Livestock Losses
Latest Tanzania agriculture news · NIC Insurance Offers Livestock Insurance to Protect Far… explained · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Na Mwandishi Wetu, DodomaNIC Insurance imewahimiza wakulima nchini kutumia fursa ya Bima ya Kilimo ili kujikinga dhidi ya hasara zinazoweza kusababishwa na majanga mbalimbali ya asili na kulinda uwekezaji wao katika.
- John Samwel Malecela jijini Dodoma, Afisa Bima wa NIC Insurance, Aman Mollel, amesema bima hiyo inalenga kuwakinga wakulima dhidi ya madhara yanayosababishwa na ukame, mafuriko, magonjwa na wadudu wa mimea, pamoja na.