New Transport Regulation for Long-Distance Buses to Use Magufuli Terminal in Dar es Salaam
Latest Tanzania transport news · New Transport Regulation for Long-Distance Buses to Use… explained · updated Aug 11, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ambapo amewataka wamiliki na waendeshaji wa kampuni za mabasi kuanza maandalizi ya utekelezaji wa utaratibu huo kabla ya Agosti 17, 2026.
- Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imechukua hatua mpya za kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuelekeza mabasi makubwa ya masafa marefu kutumia Stendi ya Magufuli kama kituo.