New Momentum for Strategic Cooperation between Tanzania and Uganda
Latest Tanzania politics news · New Momentum for Strategic Cooperation between Tanzania… explained · updated Aug 5, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili jijini Dar es Salaam kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia leo Jumatano Agosti 5 hadi 6, kufuatia mwaliko wa mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
- Ziara hiyo, inatarajiwa kutoa msukumo mpya katika utekelezaji wa maamuzi yaliyokwishafikiwa na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na Uganda kwa manufaa ya wananchi wa nchi zote mbili.