Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mossi Nduwumwe Sets Unique Record with Two Hat-Tricks in 2025/26 Season

Latest Tanzania sports news · Mossi Nduwumwe Sets Unique Record with Two Hat-Tricks i… explained · 2025 updates · updated Aug 7, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Katika kipindi hicho kifupi, Mossi aliweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee aliyefunga hat-trick mbili katika msimu wa 2025/26.
  • Hivi sasa, Mossi anajiandaa kuanza changamoto mpya nchini Algeria ambapo ataungana na MC Alger katika kutetea ubingwa wao wa ndani pamoja na kushiriki Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika (CAF Champions League) msimu.
  • Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Mossi Nduwumwe, amekamilisha rasmi uhamisho wake kutoka klabu ya Singida Black Stars na kujiunga na mabingwa wa soka nchini Algeria, MC Alger.
  • Sababu ya Kutokuwepo Kwenye Pre-Season Rwanda Kuondoka kwa Mossi kunatoa majibu ya kwanini mshambuliaji huyo hakuwepo kwenye kikosi cha Singida Black Stars kilichoweka kambi mjini Kigali, Rwanda, kujiandaa na msimu mpya.

Latest news excerpts & sources: Mossi Nduwumwe Sets Unique Record with Two Hat-Tricks i…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.