Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mo Dewji's Return to Lead Simba SC for 2026/27 Season

Latest Tanzania sports news · Mo Dewji's Return to Lead Simba SC for 2026/27 Season explained · 2026 updates · updated Aug 6, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Mo amesisitiza kuwa lengo kuu la uamuzi huo kwa msimu mpya wa 2026/27 ni kuhakikisha Wekundu wa Msimbazi wanarejesha heshima yao ndani na nje ya uwanja.
  • Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), ametangaza rasmi kurejea kuisimamia klabu hiyo kwa ukaribu zaidi, akibainisha kuwa msukumo mkubwa umetokana na presha ya kuona klabu hiyo ikipoteza makali na ushindani.
  • Presha ya Mashabiki na Anguko la Misimu Mitano Kauli hii ya Mo Dewji inakuja katika kipindi ambacho Simba SC imeshuhudia watani wao wa jadi, Yanga SC, wakitawala soka la Tanzania kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC.

Latest news excerpts & sources: Mo Dewji's Return to Lead Simba SC for 2026/27 Season

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.