Mkuu wa Wilaya ya Longido Aagiza Wakulima na Wafugaji Kuteza Soko la Mazao la Kimataifa
Latest Tanzania agriculture news · Mkuu wa Wilaya ya Longido Aagiza Wakulima na Wafugaji K… explained · updated Aug 6, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe.Salumu Kali amesisitiza wakulima na wafugaji kuhakikisha wanaliteka soko za mazao la kimataifa hususani soko la nchi za Afrika Mashariki, kwa kuzalisha mazao bora yenye ushindani kwenye.
- Wakati umefika sasa wakulima na wafugaji Tanzania kuacha kulima kilimo cha kujikimu badala yake kulima kilimo biashara cha kuuza mazao nchi jirani, maeneo ambayo yanauhitaji mkubwa wa chakula, kuna soko kubwa la mazao.