Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Apongeza Ubunifu wa Teknolojia katika Kilimo cha Mjini
Latest Tanzania agriculture news · Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Apongeza Ubunifu wa Teknolojia… explained · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Morogoro, Agosti 3, 2026 – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe.
- Adam Malima, ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika Maonesho ya Wakulima Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro, alitembelea Banda la Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na kujionea shughuli mbalimbali za.
- Malima alipongeza matumizi ya teknolojia katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi, alieleza kuwa yamechangia kuongeza uzalishaji wenye tija na yanaendana na maono ya maendeleo ya taifa kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo.
- Malima alisema ubunifu wa teknolojia za kilimo cha mjini unaoneshwa katika maonesho hayo ni suluhisho muhimu kwa wananchi wanaoishi mijini wenye maeneo madogo ya ardhi.
- Malima.Kwa upande mwingine, Mkuu huyo wa Mkoa aliwahimiza wajasiriamali wote wanaoshiriki maonesho hayo kutembeleana ili kujifunza, kutambua fursa mpya za biashara na kupanua masoko yao.