Indexed topics
BUSINESS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ahamasisha Ushirikiano kati ya Wajasiriamali

Latest Tanzania business news · Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ahamasisha Ushirikiano kati ya… explained · updated Aug 3, 2026 · business news · companies · investment

TLDR

  • Morogoro, Agosti 3, 2026 – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe.
  • Adam Malima, ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika Maonesho ya Wakulima Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea mkoani Morogoro, alitembelea Banda la Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na kujionea shughuli mbalimbali za.
  • Malima.Kwa upande mwingine, Mkuu huyo wa Mkoa aliwahimiza wajasiriamali wote wanaoshiriki maonesho hayo kutembeleana ili kujifunza, kutambua fursa mpya za biashara na kupanua masoko yao.
  • Amesema ushirikiano kati ya wajasiriamali ni muhimu kwa kuwa wanategemeana katika upatikanaji wa malighafi, masoko na kukuza uchumi kupitia uzalishaji wenye tija.

Latest news excerpts & sources: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ahamasisha Ushirikiano kati ya…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.