Mizengo Pinda Visits VETA Exhibition Booth on August 6, 2026
Latest Tanzania education news · Mizengo Pinda Visits VETA Exhibition Booth on August 6,… explained · 2026 updates · updated Aug 6, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Mizengo Pinda, Agosti 06,2026 ametembelea banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Maonesho ya 88 yanayoendelea katika Viwanja vya John Samuel Malecela, jijini Dodoma.
- Pinda alipokea maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na VETA, ikiwemo mafunzo ya ufundi stadi, ubunifu wa teknolojia mbalimbali pamoja na fursa zinazowawezesha vijana kujiajiri na kuchangia maendeleo ya uchumi wa taifa.