Mhe. Silinde Aeleza Mikakati ya Kuongeza Uzalishaji na Kipato kwa Wakulima na Wafugaji
Latest Tanzania agriculture news · Mhe. Silinde Aeleza Mikakati ya Kuongeza Uzalishaji na… explained · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Kwa kufanya hivyo, tutaimarisha usalama wa chakula, kuongeza tija, kulinda rasilimali za asili kwa ajili ya vizazi vijavyo na kujenga uchumi wa kijani unaoendana na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050".
- Wakulima na Wafugaji Kanda ya Kaskazini wa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara wamesisitizwa kabla ya kuwekeza kwenye uzalishaji ni vema kuanza kwa kutambua uhitaji wa soko na msimu, ndipo kuanza uzalishaji ili.
- Kwa kufanya hivyo, uzalishaji utaweza kuendana na mahitaji ya soko na kuwa na tija na uhakika wa kupata masoko".Amebainisha Mhe.SilindeAidha amewasisitiza kuhakikisha kuongeza tija katika uzalishaji kwa kutumia.
- Hatua hizi zitawezesha kuongeza uzalishaji na kipato cha wananchi kupitia uzalishaji wa kimkakati, kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za ushiriki wa vijana na wanawake katika biashara za kilimo, mifugo na.