Mhe. Adam Malima's Praise for Mkuranga Council's Efforts in Promoting Agricultural Production
Latest Tanzania business news · Mhe. Adam Malima's Praise for Mkuranga Council's Effort… explained · updated Aug 6, 2026 · business news · companies · investment
TLDR
- Adam Malima, amewahimiza wananchi kutoka maeneo mbalimbali kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga katika Maonesho ya Wakulima Nane Nane ili kujifunza mbinu za kutangaza na kuongezea thamani bidhaa na.
- Malima alitoa wito huo alipotembelea banda la Mkuranga katika Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, mkoani Morogoro, ambapo alipata fursa ya kuona shughuli.