Indexed topics
CONSTRUCTION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mhandisi Ntuli Mwaikokesya Asema Ujenzi wa Barabara Unatarajiwa Kukamilika Desemba 2026

Latest Tanzania construction news · Mhandisi Ntuli Mwaikokesya Asema Ujenzi wa Barabara Una… explained · 2026 updates · updated Aug 9, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Ndejembi ametoa agizo hilo leo, Agosti 9, 2026, mkoani Shinyanga, wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 73 inayojengwa kwa kiwango cha lami.
  • Kwa mujibu wa Mhandisi Mwaikokesya, iwapo muda wa nyongeza utaidhinishwa, mradi huo unatarajiwa kukamilika ifikapo Desemba 2026.
  • Amesema mradi huo ulipangwa kukamilika mwezi Septemba 2026, hata hivyo, kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza wakati wa utekelezaji, Mkandarasi ameomba kuongezewa muda wa kukamilisha kazi.
  • Akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi huo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Ntuli Mwaikokesya, amesema ujenzi wa Barabara ya Kahama – Bulyanhulu Jct–Kakola wenye urefu wa kilomita 73 unagharimu Shilingi.
  • Mboni Mhita, amesema Serikali imetoa zaidi ya Shilingi trilioni 2 kwa Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati huku akiahidi kusimamia kwa karibu ujenzi wa Barabara ya.

Latest news excerpts & sources: Mhandisi Ntuli Mwaikokesya Asema Ujenzi wa Barabara Una…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.