Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Memphis Depay's Legal Action Against Corinthians

Latest Tanzania sports news · Memphis Depay's Legal Action Against Corinthians explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Hivi karibuni, Corinthians ilithibitisha rasmi kuwa haitakuwa na mpango wa kurefusha mkataba wa nyota huyo mwenye umri wa miaka 32.
  • Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Manchester United na raia wa Uholanzi, Memphis Depay, ameibuka na kukosoa vikali uongozi wa klabu ya Corinthians ya Brazil kwa kuamua kutomwongezea mkataba mpya, akisisitiza kuwa klabu.
  • Akieleza hisia zake kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Depay aliandika: “Nimekatishwa tamaa sana kusoma kwamba Corinthians imeamua kutoheshimu makubaliano tuliyokuwa tumefikia ya kuongeza mkataba.

Latest news excerpts & sources: Memphis Depay's Legal Action Against Corinthians

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.