Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mbeki Asema Kazi Yake Ni Kupambana kwa Jasho na Damu

Latest Tanzania sports news · Mbeki Asema Kazi Yake Ni Kupambana kwa Jasho na Damu explained · updated Aug 13, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Sasa katika msimu wa 2026-2027, anaanza sura mpya ya maisha yake ya soka ndani ya KVZ—klabu inayojiandaa pia kuiwakilisha Zanzibar kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
  • Mlandege Yampa Njia na Ugumu wa Kuondoka Akimweleza mwandishi wa Mwanaspoti, Mbeki alibainisha kuwa misimu mitano ndani ya Mlandege ilikuwa ya mafanikio makubwa baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (2024-2025).
  • Kazi yangu sasa ni kupambana kwa jasho na damu ili kuisaidia timu kutetea ubingwa wa ligi na kufanya vizuri kimataifa,” aliongeza.
  • Safari Yake na Kipaji Kisichotia Shaka Uwezo wa Mbeki si wa kubahatisha.

Latest news excerpts & sources: Mbeki Asema Kazi Yake Ni Kupambana kwa Jasho na Damu

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.