Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Masoud Cabaye Completes One-Year Contract with JKT Tanzania

Latest Tanzania sports news · Masoud Cabaye Completes One-Year Contract with JKT Tanz… explained · updated Aug 10, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Baada ya timu hiyo kushindwa kubaki Ligi Kuu na kushuka daraja msimu wa 2024/25, alihamia Tanzania Prisons ambako alirejesha kiwango chake bora na kuwa mchezaji tegemeo.
  • KIUNGO machachari Masoud Cabaye amekamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya JKT Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja, akitua klabuni hapo kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Tanzania Prisons.
  • Cabaye amefikia uamuzi wa kujiunga na Maafande hao wa JKT Tanzania baada ya mazungumzo yake na Polisi Tanzania kuchelewa kukamilika, jambo lililomfanya kiungo huyo kugeuza upepo na kusaini mkataba wa kuitumikia JKT.
  • Safari Ya Soka Ya Masoud Cabaye Kiungo huyo mkabaji amekuwa miongoni mwa wachezaji wenye uzoefu mkubwa katika eneo la katikati: Azam FC: Alianzia soka lake la ushindani katika ngazi ya juu baada ya kupandishwa kikosi.
  • Kwa sasa, Cabaye ameshatua ndani ya kikosi cha JKT Tanzania na anatarajiwa kutumia uzoefu wake mkubwa kuimarisha eneo la kiungo la Maafande hao.

Latest news excerpts & sources: Masoud Cabaye Completes One-Year Contract with JKT Tanz…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.