Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Manchester City Loses to Inter Milan 3-1 on Penalties in First Match Under Enzo Maresca

Latest Tanzania sports news · Manchester City Loses to Inter Milan 3-1 on Penalties i… explained · updated Aug 3, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Semenyo ametoa kauli hiyo baada ya Man City kufungwa na Inter Milan kwa penalty 3-1 katika mchezo wa kwanza chini ya Maresca.
  • Katika mchezo huo wa kirafiki uliochezwa Hong Kong, Man City walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 14 kupitia kwa Divin Mubama lakini Benjamin Pavard aliisawazishia Inter dakika sita tu baadaye.
  • Licha ya kupoteza, Semenyo ameeleza kukoshwa na kiwango kizuri kilichooneshwa na Man City, hasa katika dakika 45 za kwanza.
  • MANCHESTER, Uingereza MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, amesifia aina ya uchezaji wa timu hiyo chini ya kocha mpya raia wa Italia, Enzo Maresca.

Latest news excerpts & sources: Manchester City Loses to Inter Milan 3-1 on Penalties i…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.