Mamia ya Wanafunzi Wanatarajia Kuenda Masomoni Nchini India Kuanzia Wiki Ijayo
Latest Tanzania education news · Mamia ya Wanafunzi Wanatarajia Kuenda Masomoni Nchini I… explained · updated Aug 9, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Jiulize unasoma kwaajili ya GPA nzuri tu au unakwenda kuhamisha maarifa ya kuchukua telnolojia na fursa za viwanda zinazopatikana kule kuleta hapa Tznania,” alisema Mollel Alisema kila mwaka wanafunzi zaidi ya 800.
- DAR ES SALAAM: Mamia ya wanafunzi wanatarajia kwenda masomoni kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL).
- Wanafunzi hao na wazazi wao walihudhuria mkutano uliofanyika katika ofisi za GEL mwishoni mwa wiki kwaajili ya kupewa mafunzo ya namna ya kuishi nchini humo.
- Pia walielezwa mambo wanayotakiwa kufanya na wasiyotakiwa kuyafanya wakiwa masomoni nchini humo ikiwemo suala la vibali, bima na makaazi ili waweze kuhitimu masomo yao.
- Mbali na mafunzo hayo walipewa tiketi zao za ndege, visa na nyaraka mbalimbali zitakazowawezesha kupokelewa kwenye vyuo wanavyokwenda kusoma nchini India.