Indexed topics
TECHNOLOGY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mainstream Group's Proposal to Develop Membership Registration System for Simba Sports Club

Latest Tanzania technology news · Mainstream Group's Proposal to Develop Membership Regis… explained · updated Aug 10, 2026 · tech news · innovation · digital

TLDR

  • DAR ES SALAAM: Kampuni ya Mainstream Group Limited imeendelea kung’ara katika sekta ya teknolojia nchini Tanzania baada ya kushinda tuzo mbili katika Tuzo za Tehama Awards 2026 zilizofanyika jijini Dar es Salaam.
  • Kwa mujibu wa William, Mainstream Group kwa sasa inatoa ajira rasmi na zisizo rasmi kwa zaidi ya vijana 100 nchini, huku kampuni hiyo ikiendelea kuchangia mapato ya Serikali kupitia ulipaji wa kodi.
  • MCHANGO KATIKA SEKTA MBALIMBALI Mafanikio hayo yamekuja miezi kadhaa baada ya Mainstream Group kushinda zabuni ya kutengeneza mfumo wa usajili wa wanachama wa Simba Sports Club, mfumo unaolenga kurahisisha mchakato wa.
  • Katika kipengele cha Ubunifu wa Teknolojia katika Mifumo ya Malipo, Mainstream Group ilifanikiwa kushika nafasi ya pili baada ya kushindanishwa na taasisi mbalimbali, ikiwemo NMB Bank.
  • Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Mainstream Group, Deogratius Lazari Mosha, ametambuliwa kutokana na mchango wake katika kukuza na kuendeleza teknolojia nchini.

Latest news excerpts & sources: Mainstream Group's Proposal to Develop Membership Regis…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.