Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Mahakama ya Rufani Yakataa Ombi la Tundu Lissu la Fidia kwa Muda wa Kesi ya Uhaini

Latest Tanzania politics news · Mahakama ya Rufani Yakataa Ombi la Tundu Lissu la Fidia… explained · updated Aug 4, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Kwa mujibu wa hukumu iliyosomwa jana na Jaji Augustine Mwarija, Lissu alidai kuwa baada ya DPP kuwasilisha maombi hayo, mwenendo wa kesi ya jinai ulisimamishwa kwa siku 139 hadi pale maombi hayo yaliposikilizwa.Akirejea.
  • Mahakama ya Rufani imekataa ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, la kuitaka serikali imlipe fidia kwa madai kuwa maombi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) yalichelewesha kwa makusudi mwenendo wa kesi ya uhaini.
  • Wakati huohuo, mahakama ilitupilia mbali rufani ya DPP, na kuacha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa kuongeza ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini ukiendelea kubaki halali.

Latest news excerpts & sources: Mahakama ya Rufani Yakataa Ombi la Tundu Lissu la Fidia…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.