Mafunzo ya Kilimo Bora kwa Wananchi wa Makulu
Latest Tanzania agriculture news · Mafunzo ya Kilimo Bora kwa Wananchi wa Makulu explained · updated Aug 7, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Mbali na mradi wa maji, Taasisi ya Igambilo imeanzisha kilimo cha mboga mboga kwa kutumia umwagiliaji kutoka kwenye kisima hicho, ambapo wananchi wamepewa mafunzo ya kilimo bora na kuanza kuzalisha mazao kwa matumizi ya.
- DODOMA: Mkurugenzi wa Taasisi ya Igambilo, Gerald Ntyama, amesema taasisi hiyo imeendelea kuboresha maisha ya wananchi wa Kijiji cha Makulu, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kupitia utekelezaji wa miradi ya maji safi.
- Amesema mchango wa taasisi hiyo ya ufadhili umekuwa wa muhimu katika kuhakikisha wananchi wa Makulu wanapata huduma ya maji safi na salama pamoja na fursa za maendeleo endelevu.
- Amewashukuru wananchi wa Makulu kwa ushirikiano wao tangu kuanza kwa mradi huo, akisema mafanikio yaliyopatikana yametokana na mshikamano kati ya wananchi, viongozi wa kijiji, Korea Hope Foundation na Taasisi ya.