Launch of Water Network Project in Nyambili Village by Mwenge wa Uhuru
Latest Tanzania water sanitation news · Launch of Water Network Project in Nyambili Village by… explained · updated Aug 5, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Wazo Michael Mwang’onda leo tarehe 02 Agosti, 2026 ameongoza hafla ya Mwenge wa Uhuru kuwasha Mwenge wa Mwitongo nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage.
- Mwenge wa Uhuru ukiwa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama pia umetembelea miradi saba ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 2.
- Aidha, Mwenge wa Uhuru umetembelea kikundi cha Vijana cha Hope Welding, umeweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule ya Sekondari Manyawa, umezindua mradi wa mtandao wa maji katika kijiji cha Nyambili na kuzindua daraja la.
- Mwenge wa Uhuru umeingia Mwitongo na kupokelewa na viongozi, wanafamilia ya Mwalimu Nyerere na wananchi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.
- Mwenge wa Uhuru ukiwa katika eneo hilo, viongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa walipata fursa ya kupata taarifa na historia kuhusiana na Mwenge wa Uhuru, Mwalimu Nyerere na historia ya Tanzania; kuzungumza na.