Launch of Presidential Commission to Investigate Election Violence and Legal Violations from October 29, 2025 Elections
Latest Tanzania politics news · Launch of Presidential Commission to Investigate Electi… explained · 2025 updates · updated Aug 7, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukaji wa Sheria katika matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiitaka kutekeleza majukumu yake.
- Uzinduzi huo umefanyika siku 106 baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Tume ya Jaji Chande Aprili 23, 2026, na siku 262 tangu kutangazwa kwa mchakato wa kuundwa kwa tume hiyo mnamo Novemba 18, 2025.
- Hii ni tume ya pili kuundwa kuchunguza matukio yaliyotokea katika kipindi cha uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.