Indexed topics
BUSINESS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Launch of Permanent Green Manufacturer of the Year Award at PMAYA 20

Latest Tanzania business news · Launch of Permanent Green Manufacturer of the Year Awar… explained · updated Aug 3, 2026 · business news · companies · investment

TLDR

  • SHIRIKISHO la Viwanda Tanzania (CTI) limetangaza kuwa Tuzo za Rais za Wazalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA) kwa mara ya 19, jukwaa kubwa nchini Tanzania la kutambua mafanikio ya viwanda, litafanyika Agosti 24 mwaka.
  • Kundi hilo litakuwa msingi wa kuanzishwa kwa tuzo mpya ya kudumu ya Mzalishaji Bora wa Mazingira wa Mwaka (Green Manufacturer of the Year), itakayoanza kutolewa katika PMAYA ya 20.Mkurugenzi Mtendaji wa CTI, Mhandisi.
  • Huu ni mwanzo wa njia ya kudumu ya kutambua uzalishaji endelevu viwandani hapa Tanzania, na tunatarajia kushiriki hadithi zao tarehe 24 Agosti,” alisema.Alisema PMAYA ya 19 inaungwa mkono na wazalishaji na kampuni.
  • Green Elegance si kaulimbiu tuliyoikopa; ni mwelekeo ambao sekta hii tayari inaufuata, na PMAYA ipo kutambua uongozi huo,” alisema.Pia kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka 19 ya PMAYA, mbali na washindi wa.

Latest news excerpts & sources: Launch of Permanent Green Manufacturer of the Year Awar…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.