Indexed topics
PUBLIC ADMIN 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Launch of Lupembe Primary Court Building in Njombe

Latest Tanzania public admin news · Launch of Lupembe Primary Court Building in Njombe explained · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Victoria Nongwa amezindua Mahakama ya Mwanzo Lupembe katika Wilaya ya Njombe baada ya ujenzi wake kukamilika na shughuli zake zikiendelea.Uzinduzi wa Mahakama hiyo ulifanyika hivi karibuni sambamba na uzinduzi wa vifaa.
  • Richard Mbambe, alipata wasaa wa kuwasilisha Taarifa fupi ya Mpango wa Ujenzi na Ukarabati wa Miradi ya Mahakama ya Mwanzo Lupembe lililopo Wilaya ya Njombe ambapo jengo hilo ambalo limejengwa kwa fedha za mradi.
  • Victoria Nongwa (aliyesimama mbele kushoto) akiwa tayari amekata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Mwanzo Lupembe Wilaya ya Njombe.Jaji Mfawidhi wa Mahakama ya Tanzania Masjala Ndogo Njombe, Mhe,Victoria.
  • Waliosimama ni Viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Mahakama ya Mwanzo Lupembe wilayani Njombe.
  • · Azindua pia Vifaa vya TEHAMA awakabidhi Mahakimu na Watumishi wengine wa Mahakama Na ABDALLAH SALUM, Mahakama-NjombeJaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Njombe, Mhe.

Latest news excerpts & sources: Launch of Lupembe Primary Court Building in Njombe

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.