Indexed topics
BUSINESS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Launch of 'Lite Your Imagination' Campaign by Serengeti Breweries Limited

Latest Tanzania business news · Launch of 'Lite Your Imagination' Campaign by Serengeti… explained · updated Aug 6, 2026 · business news · companies · investment

TLDR

  • Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ chini ya bia yake ya Serengeti Lite.
  • Hii ni ahadi yetu ya kuinua ari ya wateja wetu na kuwa sehemu ya safari yao ya ubunifu." Kaulimbiu ya kampeni hii, Lite Your Imagination, inahamasisha Watanzania kupata muamko kila wakati na kuutumia kufikia ndoto zao.
  • Lite Your Imagination’ inaendana na malengo yetu ya kitaifa ya kukuza sanaa, utamaduni, na uvumbuzi.
  • Kampeni hii ya Serengeti Lite inalenga kuwawezesha vijana wa Kitanzania kutimiza ndoto zao, kuishi kwa ujasiri, na kusherehekea nyakati za furaha na hamasa.
  • Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Obinna Anyalebechi alisema, "Serengeti Lite si kinywaji tu cha kuburudisha; ni mtindo wa maisha unaosherehekea upekee wa jamii yetu.

Latest news excerpts & sources: Launch of 'Lite Your Imagination' Campaign by Serengeti…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.