Professor Kitila Mkumbo, has commended the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) for launching the Human Rights Grant Project, saying the initiative will help increase access to financial resources for human rights protection and advocacy activities in the country.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amepongeza Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kuanzisha Mradi wa Ruzuku kwa Ajili ya Haki za Binadamu, ambao utasaidia kuongeza upatikanaji wa rasilimali za kifedha kwa ajili ya shughuli za kulinda na kutetea haki za binadamu nchini.