Indexed topics
FINANCE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Launch of Hatua Bond to Strengthen Capital Market in Tanzania

Latest Tanzania finance news · Launch of Hatua Bond to Strengthen Capital Market in Ta… explained · updated Aug 6, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • DAR ES SALAAM: WAWEKEZAJI katika sekta mbalimbali nchini wanatarajiwa kunufaika na mpango wa hati fungani inayotoa riba ya kudumu ya asilimia 13 kwa mwaka kupitia hati fungani ya Hatua bond.
  • Ameongeza “Hati fungani hiyo iko wazi kwa wawekezaji binafsi na taasisi, huku kiwango cha chini cha uwekezaji kikiwa Sh 500,000, hatua inayotarajiwa kuongeza ushiriki wa Watanzania katika uwekezaji wa hati fungani zenye.
  • Akizungumza wakati wa uzinduzi wa hati fungani ya Hatua Bond, Mkuu wa Idara ya Hazina wa I&M Bank Tanzania, Patrick Kapela, amesema Hatua Bond ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha soko la mitaji nchini na kuwapatia.
  • Hatua Bond ni hatua nyingine muhimu katika dhamira yetu ya kuendeleza soko la mitaji la Tanzania huku tukiwapatia wawekezaji fursa nzuri na yenye ushindani ya uwekezaji.
  • Kwa upande wake, Ofisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa I&M Bank Tanzania, Zahid Mustafa, amesema uzinduzi wa Hatua Bond unaonyesha ukuaji wa benki hiyo na imani yake katika mustakabali wa uchumi wa Tanzania.

Latest news excerpts & sources: Launch of Hatua Bond to Strengthen Capital Market in Ta…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.