Kuhamasisha Jamii Kutumia Fursa za Uchumi wa Buluu
Latest Tanzania economy news · Kuhamasisha Jamii Kutumia Fursa za Uchumi wa Buluu explained · updated Aug 12, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Kongamano hilo linatarajiwa kuwashirikisha zaidi ya wazawa 200 kutoka pande mbili za Muungano, likiwa sehemu ya shughuli zinazofanyika katika Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kujadili fursa zilizopo katika Uchumi wa.
- Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano hilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Kapteni Hamad Bakar Hamad, alisema kongamano hilo litatoa fursa kwa wadau wa ndani kukutana na kujadili kwa.
- Kwa mujibu wa Kapteni Hamad, Uchumi wa Buluu una nafasi kubwa katika kuchangia maendeleo ya wananchi kupitia shughuli mbalimbali zinazohusiana na bahari na rasilimali za majini, hivyo ni muhimu jamii kuwa na uelewa wa.
- Aliikumbusha jamii, hususan wazawa, kuchangamkia fursa zinazopatikana katika sekta ya Uchumi wa Buluu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania kwa kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi zinazoweza kuongeza kipato.
- NA FAUZIA MUSSA SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, inatarajia kufanya.