Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Kilimo cha Mboga Mboga kwa Umwagiliaji Kijiji cha Makulu

Latest Tanzania agriculture news · Kilimo cha Mboga Mboga kwa Umwagiliaji Kijiji cha Makulu explained · updated Aug 7, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Mbali na mradi wa maji, Taasisi ya Igambilo imeanzisha kilimo cha mboga mboga kwa kutumia umwagiliaji kutoka kwenye kisima hicho, ambapo wananchi wamepewa mafunzo ya kilimo bora na kuanza kuzalisha mazao kwa matumizi ya.
  • DODOMA: Mkurugenzi wa Taasisi ya Igambilo, Gerald Ntyama, amesema taasisi hiyo imeendelea kuboresha maisha ya wananchi wa Kijiji cha Makulu, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kupitia utekelezaji wa miradi ya maji safi.
  • Amewashukuru wananchi wa Makulu kwa ushirikiano wao tangu kuanza kwa mradi huo, akisema mafanikio yaliyopatikana yametokana na mshikamano kati ya wananchi, viongozi wa kijiji, Korea Hope Foundation na Taasisi ya.

Latest news excerpts & sources: Kilimo cha Mboga Mboga kwa Umwagiliaji Kijiji cha Makulu

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.