Kijiji cha Ushirika kuonesha huduma za kifedha na uongezaji thamani wa mazao
Latest Tanzania agriculture news · Kijiji cha Ushirika kuonesha huduma za kifedha na uonge… explained · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Mrajis Mkuu wa Vyama vya Ushirika nchini, Benson Ndiege, amesema Kijiji cha Ushirika kimeandaliwa ili kuonesha namna mfumo wa ushirika kupitia vyama vyake unavyoweza kuwahudumia wanaushirika kuanzia uzalishaji.