Indexed topics
SPORTS 2 excerpts · 2 articles · 1 outlets

Kamachumu FC Wins Paul Mwijage Cup with 1-0 Victory Over Kanoni FC

Latest Tanzania sports news · Kamachumu FC Wins Paul Mwijage Cup with 1-0 Victory Ove… explained · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • KAGERA: Timu ya Kamachumu Stars imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 3.
  • Timu ya Kamachumu FC imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 3.
  • Mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 20 kutoka Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, yamekuwa kivutio kwa mamia ya wananchi huku yakitoa fursa kwa vijana kuonyesha vipaji vyao katika soka.
  • Mkurugenzi wa mashindano hayo, Paul Mwijage, amesema lengo kuu la michuano hiyo lilikuwa kuinua vipaji vya vijana na kuwapa fursa ya kuonekana na kupata nafasi ya kucheza katika timu mbalimbali kubwa.
  • Mwijage amesema pia wana mpango wa kuunda uongozi na katiba ya Kamachumu FC, timu itakayoundwa na baadhi ya vijana walioshiriki mashindano hayo na kuwa timu ya wananchi wa eneo hilo.

Latest news excerpts & sources: Kamachumu FC Wins Paul Mwijage Cup with 1-0 Victory Ove…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.