Mechi hii ya Kairat Almaty dhidi ya Omonia Nicosia ni moja ya mechi za kibabe ambazo zinatarajiwa kupigwa siku ya leo ambapo wenyeji wanahitajii wanaingia kwenye mchezo huu kwenda kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana kwa bao 1-0 kule nchini Cyprus.