Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Kagera Sugar's Goal to Compete in the Premier League

Latest Tanzania sports news · Kagera Sugar's Goal to Compete in the Premier League explained · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Mudathir, aliyejiunga na Mashujaa FC Julai 29, 2025 akitokea Mbeya City, ameamua kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki ili kutua Kagera Sugar baada ya kuwekewa mezani dau nono lililomshawishi.
  • KAGERA: Baada ya kufanikisha lengo la kurejea na kukata tiketi ya kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2026-2027, uongozi wa Kagera Sugar umeanza kusuka upya kikosi chao kwa ajili ya kuleta ushindani wa kweli.
  • Akizungumza na mtandao wa Soka la Bongo, Meneja wa Kagera Sugar, Bernard Samson Sikira, amethibitisha kuwa usajili wa kikosi kipya umekamilika kulingana na matakwa ya benchi la ufundi.
  • Majina Mipya Yaliyotua Kagera Sugar: Mbali na Mudathir Said, Kagera Sugar imefanya uwekezaji mkubwa kwa kuleta wachezaji wengine wa kimataifa na wa ndani: Boniface Onyango: Beki wa kushoto anayemudu pia kucheza beki ya.
  • Ujio wa nyota hawa wapya unadhihirisha dhumuni la Kagera Sugar sio tu kushiriki Ligi Kuu, bali kupambana na kurejesha heshima yao katika soka la Bongo.

Latest news excerpts & sources: Kagera Sugar's Goal to Compete in the Premier League

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.