Mwanyika amesema kuwa juhudi zinazofanywa na TBS kuhakikisha usalama na ubora wa bidhaa zinazotumiwa na Watanzania zinaonekana, sambamba na kuendelea kutoa elimu na kuongeza programu maalumu za kushughulikia bidhaa zinazoingizwa nchini kwa njia zisizo rasmi.
Mhe.Mwanyika amesema juhudi zinazofanywa na TBS katika kuhakikisha usalama na ubora wa bidhaa zinazotumiwa na Watanzania zinaonekana.