The initiative demonstrated Jubilee Group Tanzania’s commitment to working with communities while supporting national efforts to improve access to quality social services.
Dk. Adamson, amesema kwamba kampuni ya Jubilee Group itaendelea kushirikiana na shule hiyo katika kuhakisha wanafunzi wanaendelea kusoma katika mazingira mazuri na tulivu.