Indexed topics
INTERNATIONAL 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Iran's Demand for US Compensation for War Damage Before Reopening Strait of Hormuz

Latest Tanzania international news · Iran's Demand for US Compensation for War Damage Before… explained · updated Aug 10, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Iran imekuwa ikiweka kizuizi cha usafirishaji katika eneo hilo tangu Marekani na Israel kuishambulia Iran mwishoni mwa Februari.
  • TEHRAN: Iran imesema haitafungua tena Mlango wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta na biashara duniani, hadi Marekani itakapotekeleza masharti iliyoweka, ikiwemo kulipa fidia kwa uharibifu uliosababishwa na.
  • Walinzi wa Mapinduzi wa Iran (IRGC) wamesema Jumapili kuwa nchi hiyo itaendelea kuufunga Mlango wa Hormuz hadi Marekani ikubali masharti ya Tehran yaliyowasilishwa siku moja kabla.
  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, alisema mazungumzo na Oman kuhusu usafiri na usimamizi wa Mlango wa Hormuz yako katika hatua za mwisho.
  • Mkuu wa usalama wa Iran, Mohammad Bagher Zolghadr, aliwasilisha orodha ya masharti ya kufunguliwa kwa Mlango wa Hormuz.

Latest news excerpts & sources: Iran's Demand for US Compensation for War Damage Before…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.